Mwisho kusasishwa: 2026
Mfumo huu wa kusimamia biashara (“Mfumo”, “Sisi”, “Huduma”) unalenga kuwasaidia watumiaji kusimamia biashara zao ikiwa ni pamoja na kufuatilia bidhaa, mauzo, na faida. Tunachukua kwa uzito mkubwa usalama na faragha ya taarifa za watumiaji wetu.
Taarifa zinatumika kwa madhumuni ya kusimamia akaunti na kuonyesha ripoti za biashara. Hatuziuzi wala kuzitoa kwa mtu wa tatu bila sababu ya kisheria.
Tunatumia password hashing, database protection na login authentication kulinda taarifa zako.
Unaweza kuomba kufuta au kupata nakala ya data zako kupitia email ya msaada.
Tunatumia cookies za mfumo tu kwa ajili ya login na session.
Sera hii inaweza kubadilishwa wakati wowote kulingana na maendeleo ya mfumo.
Kwa maswali, wasiliana kupitia: advspro@gmail.com